sw_tn/neh/12/04.md

434 B

Sentensi Unganishi

Orodha ambayo ilianza katika 12 :1 inaendelea.

Kulikuwa

Maneno haya yameongezwa kwa tafsiri hii. Ikiwa utaendelea na orodha iliyoanza 12:1, unaweza kufuta maneno haya.

Iddo.....Ginethoni.....Abiya....Miyamini....Maazia.... Bilgai.....Shemaya....Yoyaribu.......Yedaya.....Salu...Amoki... Hilkia.....Yedaya

Haya ni majina ya wanaume.

Ginethoni

Ginethoni inaweza kuwa aina nyingine ya jina '"Ginethoni"