sw_tn/neh/11/22.md

545 B

Mtawala mkuu

"Mwangalizi"

Uzi....Bani...Hashabia.... Matania....Mika....Asafu...Pethahia....Meshezabeli.... Zera.....Yuda

Haya ni majina ya wanaume.

Walikuwa chini ya maagizo kutoka kwa mfalme

"Mfalme alikuwa amewaambia nini cha kufanya"

maagizo imara yalitolewa kwa waimbaji

Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "mfalme alikuwa amewaambia hasa nini cha kufanya kuhusu waimbaji"

alikuwa upande wa mfalme kwa habari zote za watu.

"upande wa mfalme wa Kiajemi kama mshauri katika mambo yote yanayohusu watu wa Kiyahudi"