sw_tn/neh/11/17.md

558 B

Matania....Mika...Zakri....Bakbukia......Abda.... Shemaya....Galali....Yeduthuni

Haya ni majina ya wanaume.

aliyeanza shukrani kwa sala

Hiyo ni nani aliyeongoza waimbaji (angalia UDB).

Bakbukia, wa pili miongoni mwa ndugu zake

Maana iwezekanavyo ni 1) Bakbukia alikuwa jamaa wa Matania na pili alikuwa na mamlaka kwa Matania (angalia UDB) au 2) "Bakbukia aliongoza kundi la pili la waimbaji."

ndugu

Njia nyingine inayowezekana ni "washirika" au "wafanyakazi wenzake" (tazama UDB).

mji mtakatifu

Maneno haya yanamaanisha mji wa Yerusalemu.