sw_tn/neh/11/13.md

389 B

Ndugu zake

ndugu za Adaya, mwana wa Jerohamu (11"10).

ndugu

Neno hili ni mfano kwa 1) Waisraeli wenzake au 2) watu ambao walifanya kazi hiyo hiyo. AT "washirika" au "wafanyakazi wenzake"

Maasai ........Azareli.....Azai, .....Meshilemothi, .....Imeri.....Zabdieli....Hageoli.

Haya ni majina ya wanaume.

wapiganaji wenye ujasiri

"wapiganaji mashujaa" au "mashujaa wa ujasiri"