sw_tn/neh/09/36.md

16 lines
341 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# zawadi zake nzuri
"mambo yote mema ndani yake" au "vitu vyote vyema tunaweza kupata kutoka kwake"
# Mavuno mazuri kutoka nchi yetu huenda kwa wafalme
"Tunatoa kodi kwa wafalme kwa kufanya kazi nchi yetu"
# Wanatawala.
Wafalme mtawala.