sw_tn/neh/09/30.md

16 lines
411 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Kwa hiyo ukawatia mikononi mwa watu wa jirani
Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria uwezo wa "watu wa jirani" (kama watu wote) kufanya madhara. AT "umeruhusu watu wa jirani kuwaumiza watu wako" Maneno sawa yanaonekana katika 9:26.
# umetoa
Bwana ametoa
# haukufanya mwisho wao kabisa
"hauku waaangamiza"