Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
wewe.... haukuwaacha
Bwana hakuwaacha Waisraeli.
kutupa ndama kutokana na chuma kilichochombwa
chuma kilichochomwa na kuumbwa kwa sura ya ndama
Nguzo ya wingu .... nguzo ya moto
Tafsiri katika 9:12.