sw_tn/neh/09/12.md

488 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

Umewaongozas

Bwana aliwaongoza Waisraeli.

umeshuka

Wakati Mungu akizungumza na watu wake, mara nyingi anaelezewa kama "kushuka" au "kushuka kutoka mbinguni." Hii ni njia ya kueleza kwamba Mungu alionekana kwa mtu huyo. AT "ulionekana" au" umeshuka kutoka mbinguni"

amri za haki na sheria za kweli, amri nzuri na maagizo

Maneno haya mawili yanaelezea kitu kimoja, sheria ya Musa