sw_tn/neh/09/11.md

407 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

umegawanya bahari

Mungu aligawanywa

wewe ... wale waliokuwa wakiwafuata ukawatupa ndani ya kilindi, kama jiwe ndani ya maji ya kina

Katika mfano huu, mwandishi huelezea Mungu akitupa Wamisri ndani ya bahari kwa urahisi kama mtu atakayepiga jiwe ndani ya maji, na jiwe litatoweka chini ya maji kabisa.