sw_tn/neh/09/05.md

705 B

Ndipo Walawi...akasema, "Simameni...milele"

Hapa Walawi wanazungumza na watu wa Israeli.

mkamsifu Bwana

"kumbariki Bwana"

Yeshua....... Kadmieli....... Bani,......Hashabneya, ..... Sherebia

majina ya wanaume. Tafsiri katika 9:3.

Hashabneya.....Hodia.....Pethalia

majina ya wanaume

Libarikiwe jina lako tukufu

alawi wanazungumza na Bwana. "Watu wa Yuda walibariki jina lako tukufu, Bwana"

mbingu za juu, na jeshi lake lote ... jeshi la mbinguni likuabudu wewe

Mwenyeji ni jeshi. "Majeshi ya mbinguni" anasema kwa mfano wa nyota nyingi kama kwamba walikuwa jeshi. Nyota kwa upande wake ni mfano wa malaika wengi. Nyota zinaomwabudu Bwana ni mfano wa malaika wanaomwabudu Bwana. (UDB)