sw_tn/neh/08/16.md

421 B

wakajifanyia mahema

"walijenga hema zao wenyewe"

lango la Maji.... lango la Efraimu

Haya ni majina ya fursa kubwa au mlango katika ukuta.

katika mraba wa lango la Efraimu

"mahali pa wazi na lango la Efraimu"

tangu siku za Yoshua

"Kuanzia siku za Yoshua"

mwana wa Nuni

"Nuni" ni jina la kiume

furaha ilikuwa kubwa sana.

Jina hili "furaha" linaweza kutajwa kama kivumbuzi. AT "watu walifurahi sana"