sw_tn/neh/08/13.md

606 B

Siku ya pili

"Siku ya 2 "au" Siku ya pili "

ili kupata ufahamu kutoka

Maana nyingine ya neno "ufahamu" linaweza kutajwa kama kitenzi. AT "kuelewa"

mwezi wa saba

"mwezi wa 7." Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Septemba na sehemu ya kwanza ya Oktoba kwenye kalenda za Magharibi.

Wanapaswa kutoa tamko

"Wanapaswa kutangaza"

mhadsi

aina ya mti mdogo wenye maua yenye rangi

miti ya kivuli

"miti ya majani"

kufanya mavazi ya muda

"kufanya hema"

kama ilivyoandikwa

Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "kama Musa alivyoandika kuhusu hilo"