sw_tn/neh/08/09.md

601 B

Kwa watu wote walilia

Hiki ni kizazi ambayo inaonyesha kulikuwa na kilio kikubwa kati ya watu. AT "Kwa watu walilia sana"

mule vilivyonona na kunywa kilicho kizuri

Maelezo ya habari ni kwamba watu waliambiwa kula chakula cha kizuri na vinywaji vyema. AT "kula chakula tajiri na kunywa kitu tamu"

Msiwe na huzuni

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "usiwe na huzuni"

kwa kuwa furaha ya Bwana ni nguvu zenu

Majina haya "furaha" na 'nguvu' yanaweza kutajwa kama vitenzi au vigezo. 'Kushangilia kwa Bwana kutakukinga' au 'kufurahi katika Bwana itakuwa kikao chako cha kukimbilia'