sw_tn/neh/08/01.md

784 B

Watu wote walikusanyika kama mtu mmoja

Hii ni jumuia ambayo inaonyesha watu kwa ujumla wamekusanyika. AT 'Watu walikusanyika pamoja pamoja'

Mlango wa maji

Hili lilikuwa jina la ufunguzi mkubwa au mlango katika ukuta.

Kitabu cha Sheria ya Musa

Hii ingekuwa yote au sehemu ya vitabu vitano vya kwanza vya Agano la Kale.

Siku ya kwanza ya mwezi wa saba

Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kwanza ya mwezi wa saba ni karibu katikati ya Septemba kwenye kalenda za Magharibi. AT "Siku ya 1 ya mwezi wa 7"

kuleta sheria

"kuleta Kitabu cha Sheria"

wote waliokuwa na uwezo wa kusikia na kuelewa

Hii itajumuisha watoto ambao walikuwa wa umri wa kutosha kuelewa kilichosomwa.

alisoma kutoka kwake

Hapa "kwake" ina maana ya Kitabu cha Sheria ya Musa.