sw_tn/neh/07/73.md

622 B

walinzi wa malango

Tafsiri hii kama katika 7: 1.

waimbaji

Tafsiri hii kama katika 7: 1.

baadhi ya watu

Maelezo ya habari ni kwamba hii inahusu baadhi ya Waisraeli ambao hawakuwa makuhani au wafanyakazi wengine wa hekalu.

na Waisraeli wote

Maana iwezekanavyo ni 1) makundi yote ya Waisraeli yaliyoorodheshwa katika aya hii au 2) Waisraeli wengine ambao hawakufanya kazi hekalu.

mwezi saba

"mwezi wa 7." Hii ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Septemba na sehemu ya kwanza ya Oktoba kwenye kalenda za Magharibi.

wakiishi katika miji yao

"waliishi katika miji yao wenyewe"