sw_tn/neh/07/61.md

16 lines
416 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Nehemia anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni.
# akapanda juu
Hii ni idiom ambayo inahusu kusafiri kwenda Yerusalemu, ambayo ilikuwa juu ya ardhi kuliko eneo jirani. AT 'kurudi' au 'kurudi'
# Tel Mela...Tel harsha...Kerub....Addon....Imeri
Haya ni majina ya sehemu
# Delaya......Tobia..... Nekoda.....Habaya.... Hakosi.... Barzilai
Haya ni majina ya wanaume.