sw_tn/neh/07/46.md

311 B

Taarifa za jumla

Aya hizi zinaendelea majina ya watu ambao wazao wao walirudi kutoka uhamishoni

Siha...Hasufa...Tabaothi...Kerosi....Siaha...Padoni ...Lebana...Hagaba....Hanani....Gideli...Gahari

Haya ni majina ya wanaume.

Siaha

Huyu ndiye mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Siaha katika Ezra 2:44.