sw_tn/neh/07/39.md

268 B

Sentensi unganishi

Nehemia anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni.

Yedaya...Yeshua...Imeri...Pashuri.. Harimu

Haya yote ni majina ya wanaume.

wa nyumba ya Yeshua

Neno "nyumba" ni jina kwa familia. AT "kutoka kwa jamaa ya Yeshua"