sw_tn/neh/06/10.md

12 lines
649 B
Markdown

# Shemaya...Delaya....Mehetabeli
Haya ni majina ya wanaume
# ni nani aliyefungiwa nyumbani kwake
Mwandishi haitoi sababu ya kuwa amefungiwa, hivyo ni bora kusema kwamba alikuwa akikaa nyumbani kwa kutumia maneno ya kawaida zaidi iwezekanavyo. AT "ambao mamlaka waliamuru kukaa nyumbani kwake"
# Je! Mtu kama mimi ninaweza kukimbia? Na mtu kama mimi ninaweza kuingia hekaluni ili nipate kuishi?
Nehemia anatumia swali hili la kuvutia ili kusisitiza kwamba hatatenda yale Shemaya amesema. Maswali haya yanaweza kuandikwa kama taarifa. AT "Mtu kama mimi siwezi kukimbia. Na mtu kama mimi siwezi kuingia ndani ya hekalu kujificha tu ili aishi hai.