sw_tn/neh/06/08.md

980 B

Kisha nikatuma maneno kwake

Hapa "mimi" inahusu Nehemia na "yeye" kwa Sanbalati

mambo kama hayo hayajafanyika kama unavyosemaHere Nehemiah requests for God to strengthen him by asking him to strengthen his "hands." AT "strengthen me" or "give me courage"

'"Hakuna mambo ambayo unasema yamefanyika"

kwa maana ndani ya moyo wako umeyabuni

Hapa "moyo" ina maana ya "akili," yaani, tamaa na mawazo ya mtu. AT "kwa ajili ya akili yako uliyabuni" au "kwa kuwa umefanya hivyo katika mawazo yako mwenyewe" (UDB)

Kwa maana wote walitaka kututisha

Hapa "wao" inahusu maadui wa Nehemia, Sanbalati, Tobia, Geshemi, na wafuasi wao. Neno "sisi" linamaanisha Wayahudi.

Wataacha mikono yao kufanya kazi hiyo

Hiya ni maneno ya maana ambayo ina maana kwamba wanaacha kazi yao juu ya ukuta. AT "Wafanyakazi wa ukuta wataacha kufanya kazi"

imarisha mikono yangu

Hapa Nehemia anamuomba Mungu kumtia nguvu kwa kumwomba kuimarisha "mikono yake." AT "kuimarisha" au "nipe ujasiri"