sw_tn/neh/04/21.md

441 B

nusu yao

"Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa.

kutoka kupambazuka asubuhi hadi kutokea kwa nyota

Hii inahusu siku nzima, wakati ni mwanga nje. AT "kutoka mwanga wa kwanza wa siku mpaka mwanzo wa usiku"

kupambazuka asubuhi

Ni hatua kwa wakati ambapo jua huchomoza ambayo ni "asubuhi." AT "kupanda kwa jua" au "asubuhi"

katikati ya Yerusalemu

"ndani ya Yerusalemu"

kubadirisha nguo zetu

akaondoa nguo zetu