sw_tn/neh/04/19.md

16 lines
258 B
Markdown

# Nikasema
Hapa "mimi" inahusu Nehemia.
# wakuu.... wakuu
Hawa ndio viongozi waliotajwa katika 4:15.
# Kazi ni kubwa
Hapa neno "kubwa" lina maana "kubwa" au "kubwa."
# sauti ya tarumbeta
Hii inahusu mtu anayepiga tarumbeta. AT "mtu anapiga tarumbeta"