sw_tn/neh/04/12.md

523 B

kutoka pande zote

Hii inawakilisha pande zote. Neno "zote" linawakilisha "wengi." AT "kutoka maelekezo mengi"

kuzungumza nasi mara kumi

Hapa namba 10 hutumiwa kuwakilisha "wengi.' AT "kuzungumza nasi mara nyingi"

katika sehemu zilizo wazi

"katika maeneo magumu"

Niliweka kila familia

Hii inahusu watu kadhaa kutoka kwa kila familia, hii inawezekana haijumuishi wanawake na watoto. AT "niliweka watu kutoka kila familia"

mkumbukeni Bwana

maneno "wito kwa akili" inamaanisha kukumbuka. AT "Mkumbuka Bwana"