sw_tn/neh/04/07.md

364 B

ghadhabu kubwa ikawaka ndani yao

Hii inazungumzia watu kuwa wenye hasira sana kama hasira yao ilikuwa kitu ambacho kilichomwa ndani yao. AT "walikasirika sana" au "walikasirika"

dhidi ya Yerusalemu

Hapa "Yerusalemu" inahusu watu wanaoishi huko. AT "dhidi ya watu wa Yerusalemu"

kuweka walinzi kama ulinzi

"kuweka watu karibu na ukuta kulinda mji" (UDB)