sw_tn/neh/03/18.md

595 B

Baada yake

"Karinu yake"

watu wa nchi zao walijenga..... wakajenga sehemu nyingine

Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT 'Kisha yake watu wa nchi walijenga ukuta ... waliandaliwa sehemu nyingine ya ukuta'

Bavai...Henadadi...Ezeri...Yeshua

haya ni majinam ya watu.

Bivai mwana wa Henadadi, mtawala

Bavvai alikuwa mtawala, si Henadad.

Keila.......Mispa

Haya mi majina ya mahali.

Ezeri mwana wa Yeshua, mtawala

Ezeri alikuwa mtawala, sio Yeshua

kuelekea upande wa silaha

"mbele ya hatua zilizotokea kwenye silaha'"(UDB)

ghala

mahali ambapo silaha zinahifadhiwa