sw_tn/neh/03/06.md

528 B

Yoyada...Pasea na Meshulamu...Besodeya...Melatia...Yadoni

Haya ni majina ya watu

kuweka milango yake

"ameweka milango yake" au "kuweka milango yake mahali"

vyuma vyake na makomeo yake

"kufuli na komeo zake." Hizi zimefungwa malango kwa usalama.

Gibeoni...Meronothi

Wagibeoni na Meronothi ni makundi ya watu.

Gibeoni na Mispa

Haya ni majina ya mahali

mkoa wa ng'ambo ya Mto

Hili ndiyo jina la mkoa ambao lilikuwa magharibi ya Mto Efrati. Ilikuwa ng'ambo ya mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 2:7.