sw_tn/neh/02/09.md

258 B

Sanbalati Mhoroni ......... Tobbia

Sanbalati ni jina la mtu, na Wahoroni walikuwa kikundi cha watu.

Tobbia mtumishi wa Amoni

Huyu mtu huenda alikuwa mtumwa aliye huru sasa akiwa kama afisa katika Amoni.

kusikia hii

"kusikia kwamba nimekuja" (UDB)