sw_tn/neh/02/04.md

454 B

Nikamwambia mfalme

"Kisha nikamjibu mfalme"

mtumishi wako

Nehemia anajieleza mwenyewe njia hii ya kuonyesha utii wake kwa mfalme.

Mbele yako

Hapa mbele inawakilisha hukumu au tathmini. AT 'katika hukumu yako'

mji wa kaburi za baba zangu

"mji ambapo baba zangu wamezikwa"

ili nipate kuujenga

Nehemia haina mpango wa kujenga jengo lote mwenyewe, lakini atakuwa kiongozi wa kazi hiyo. AT "kwamba mimi na watu wangu wanaweza kujenga tena"