sw_tn/neh/02/03.md

650 B

Mfalme aishi milele!

Nehemia anaonyesha heshima kwa Mfalme Artashasta. Hapa "milele" ni kisingizio kinachoashiria maisha ya muda mrefu. "Mfalme aishi muda mrefu!" au "Mfalme awe na maisha marefu!"

Kwa nini uso wangu usiwe na huzuni?

Hapa Nehemiya anatumia swali hili la uongo ili kumwambia mfalme kwamba ana sababu ya kuwa na huzuni. Hii inaweza kuandikwa kama taarifa. AT 'Nina sababu nzuri sana za kuwa na huzuni.'

mji wa kaburi za baba zangu

"mahali ambapo baba zangu wamezikwa"

malango yake yameharibiwa kwa moto

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "moto umeangamiza milango yake" au "adui yetu amewaka moto milango yake"