sw_tn/nam/01/04.md

16 lines
295 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Nahumu anaendelea kueleza nguvu ya Yahwe juu ya dunia yote.
# Milima hutetema kwenye uwepo wake, na vilima huyeyuka; dunia huanguka mbele zake
"Milima, vilima, na dunia humwogopa Yahwe"
# hutetema
kama mtu ambaye ameogopa
# huanguka
"hudondoka chini ya ardhi kwa woga"