sw_tn/mrk/14/03.md

20 lines
366 B
Markdown

# Simoni Mkoma
Huyu mtu alikuwa na ukoma hapo awali lakini hakuwa mgonjwa tena.
# alabaster
Hili ni laini, "jiwe jeupe."
# Nini sababu ya upotevu huu?
Hakuna sababu nzuri kupoteza manukato ghali namna ile.
# Manukato haya yangeweza kuuzwa
"Tungeuza manukato haya." au Angeweza kuuza manukato haya
# dinari mia tatu
"dinari 300." Dinari ni sarafu za Kirumi.