sw_tn/mrk/13/17.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown

# wana mtoto
Hii njia ya upole kusema kwa mtu kuwa ni mwenye mimba.
# Ombeni kwamba
Ombeni kwamba wakati huu" au " Ombeni kwamba mambo haya"
# baridi
"majira ya baridi" au " baridi, majija ya mvua" Hii urejea kipindi cha mwaka wakati ambapo ni baridi na isiyofurahisha
# hayajawahi kutokea
"kubwa zaidi kuliko haijawahi tokea." Hii inaelezea namna ilivyo kubwa na mbaya mateso makubwa.
# hayajawahi kutokea
hayajawahi kutokea "na kubwa zaidi haitatokea tena"
# atakapopunguza siku
Inaweza kuwa msaada kuweka wazi "siku" zipi zinaongelewa. "atapunguza siku za mateso" au "atapunguza wakati wa mateso"
# atapunguza
Hili neno halimaanishi kuwa siku zitakuwa chini ya masaa 24 kila moja, lakini zitakuwa siku chache za mateso.
# hakuna mwili utakaookoka
Neno "mwili" urejea kwa watu. Hapa "kuokoka" urejea kwa wakovu wa kimwili. "hakuna yeyote atakayeokoka" Pia, maneno haya yanaweza kusemwa katika mtindo chanya. "kila mmoja atakufa"
# kwa ajili ya
ustawi wa
# wateule, ambao aliwachagua
kikundi cha maneno "wale aliowachagua" humaanisha kitu kile kile kama "wateule" Kwa pamoja, wanasisitiza kuwa Mungu aliwachagua watu hawa.