sw_tn/mrk/13/11.md

40 lines
1.4 KiB
Markdown

# kuwakabidhi
Hii inamaanisha kuwaweka chini ya usimamizi wa mtu mwingine. Kwa jambo hili, chini ya uzimamizi wa mamlaka.
# lakini Roho Mtakatifu
Taarifa zinazokosekana zinaweza kuongezewa. "lakini Roho Mtakatifu atazungumza kupitia wewe"
# Ndugu atamshitaki ndugu kuuawa
Ndugu atamshitaki ndugu kuuawa "Ndugu atamshitaki ndugu yake kuuawa" Hii inamaanisha kuwa ndugu atamsaliti ndugu yake na kusaliti huku kutasababisha ndugu yake kuuawa
# Ndugu...ndugu
Hii inarejea kwa wote ndugu na dada
# baba na mtoto
Hii inamaanisha kuwa baba atamsaliti mtoto wake na kusaliti huku kutasababisha mtoto kuuawa. "baba atamshitaki mtoto wake "auwawe" au baba atamsaliti mtoto wake, kumwaacha auwawe"
# Watoto watasimama kinyume cha baba zao
Hii inamaanisha kuwa watoto watawapinga wazazi wao na kuwasaliti.
# kuwasababisha kuuawa
Hii inamaanisha kuwa mamlaka yatasema wauwawe. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji.
# Mtachukiwa na kila mtu
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Kila mmoja atawachukia"
# kwa sababu ya jina langu
Yesu anatumia kirai "jina langu" kurejea kwake mwenyewe. "kwa sababu yangu" au "kwa sababu mnaniamini mimi"
# atakayevumilia mpaka mwisho, mtu huyo ataokoka.
Hii inamaanisha kuwa mwaminifu kwa Mungu mpaka mwisho wa maisha ya mtu. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu atamuokoa yeyote aliye mwaminifu kwake, kuvumilia majaribu, mpaka mwisho wa maisha yake"