sw_tn/mrk/13/07.md

24 lines
940 B
Markdown

# Mtakaposikia vita na tetesi za vita
Maana talajiwa ni 1)"sikia sauti halisi ya vita ikiwa karibu na taarifa za vita kwa mbali" au 2)sikia vita ambavyo ni halisia vinatokea na watu kusema kuwa vita vinaenda kuana"
# tetesi
maneno ambayo siyo rahisi kugundua kama yako sahihi au hapana
# lakini mwisho bado
Hii inarejea kwa mwisho wa ulimwengu. Taarifa zinazokosekana zinaweza kuongezewa. "lakini siyo mwisho wa ulimwengu. "
# litainuka kinyume
Lugha hii inamaanisha kupigana na mtu mwingine. "nitapigana kinyume"
# Taifa litainuka kinyume na taifa jingine
Taarifa zinazokosekana zinaweza kuongezwa. "taifa litainuka kinyume na taifa" au "taifa litapigana kinyume na taifa"
# Huu ni mwanzo wa utungu.
Yesu anazungumza juu ya maafa kama mwanzo wa utungu kwa sababu mambo makali yatatokea baada ya hayo. "Haya matokeo yatakuwa kama utungu wa kwanza wa mwanamke anaposumbuka wakati anapozaa mtoto. Watasumbuka zaidi baada ya hayo"