sw_tn/mrk/10/13.md

8 lines
362 B
Markdown

# Waruhusuni waatoto wadogo waje kwangu, na msiwazuie
Sentensi hizi mbili zina maana sawa, zimerudiwa kwa ajili ya msisitizo. Katika luga zingine ni asili zaidi kusisitiza kwa njia nyingine. AT: " Muwe na uhakika wa kuwaruhusu watoto wadogo kuja kwangu."
# Msizuie
Hii ni hasi mbili. Katika baadhi ya lugha ni asili zaidi kutumia taarifa chanya. AT: "ruhusu"