sw_tn/mrk/09/38.md

16 lines
245 B
Markdown

# Yohana alimwambia
"Yohana alimwambia Yesu"
# fukuza mapepo
"Kuyaondoa mbali mapepo"
# kaitka jina lako
Hapa "jina" lina husishwa na mamlaka ya Yesu na nguvu
# hanifuati mimi
Hii ina maana kwamba hayuko miongoni mwa makundi ya wanafunzi