sw_tn/mrk/07/27.md

24 lines
359 B
Markdown

# Waache watoto kwanza washibe
"Watoto lazima wale kwanza" au "Lazima nilishe watoto kwanza."
# Watoto
Wayahudi. AT: "Lazima nitumikie Wayahudu kwanza."
# Mkate
Chakula
# Mbwa
Watu wa mataifa
# hata mbwa hula mabaki ya watoto chini ya meza.
"unaweza kunitumikia, mtu wa mataifa, katika njia ndogo hii.
# Mabaki
Vipande vidogo vidogo sana ya mkate