sw_tn/mrk/07/24.md

20 lines
497 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Wakati Yesu anaenda Tiro, anamponya binti wa mwanamke wa kimataifa akiwa na imani ya ajabu.
# alikuwa na roho chafu
Hii ni lugha inayomaanisha kuwa alikuwa amilikiwa na roho chafu.
# Anguka chin
"piga magoti"
# Mwanamke huyo alikuwa Myunani, wa kabila la Kifoeniki
Neno "sasa" utambulisha wazo jingine katika hadithi, kama ilivyo sentensi hii hutoa maelezo ya nyuma kuhusu mwanamke.
# Kifoeniki
Hili ni jina la mwanamke la kitaifa. Alizaliwa mkoa wa Kifoeniki Syria.