sw_tn/mrk/05/11.md

20 lines
448 B
Markdown

# nao walimsihi
"roho chafu walimsihi Yesu"
# Aliwaruhusu
"Yesu aliziruhusu roho chafu" zikawaingie nguruwe
# na walikimbilia
"na nguruwe walikimbilia"
# nao walikimbilia chini ya kilima mpaka baharini, na karibia nguruwe elfu mbili walizama baharini
Unaweza kuifanya hii sentensi kujitegemea: "mpaka baharini. Kuliwakuwako na nguruwe elfu mbili, na walizama baharini."
# Yapata nguruwe elfu mbili
"Yapata nguruwe 2000 " walizama baharini