sw_tn/mrk/01/14.md

12 lines
212 B
Markdown

# baada ya Yohana kukamatwa
"Baada ya Yohana kuwa ametiwa gerezani" Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji. AT: " baada ya kumshika Yohana."
# alitangaza
"Alihubiri"
# Wakati umetimia
"Huu sasa ni wakati"