sw_tn/mic/07/19.md

20 lines
597 B
Markdown

# Uta
Hapa "wewe" inamrejea Yahwe.
# juu yetu
Hapa "sisi" inamrejea Mika na watu wa Isralei.
# utayakanyaga maovu chini ya miguu yako. Utazitupa dhambi zetu zote kwenye vilindi vya bahari
Hii inamaanisha Mungu atazisamehe kabisa dhambi za watu na hakutakuwa tena na adhabu ya watu kwa ajili yao.
# mpatie ukweli Yakobo na agano aminifu kwa Ibrahimu
Hapa "Yakobo" na "Ibrahimu," ambao ni mambabu wa taifa la Israeli, inarejea kwa watu wa Israeli sasa.
# kwa babu zetu
Hii inamrejea Ibrahimu na Yakobo, na labda wengine waliokuwa hai wakati Mungu alipolifanya agano lake pamona na Israeli.