forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
422 B
Markdown
12 lines
422 B
Markdown
# Lakini kama kwangu mimi
|
|
|
|
Hapa "mimi" inamrejea Mika
|
|
|
|
# Usifurahi juu yangu
|
|
|
|
Mika harejelei kwake pekee. Anamaanisha adui hatakiwi kufurahi juu ya kilichotokea kwa watu wote wa Israeli.
|
|
|
|
# Wakati nitakapokuwa nimekaa katika giza, Yahwe atakuwa nuru kwangu
|
|
|
|
Mika anarejea kwenye janga ambalo linakuja kwa watu wa israeli kama "giza." Anamaanisha ingawa Mungu atamwacha adui kuja kuwaharibu sasa, atakuja kuwaokoa mbeleni.
|