sw_tn/mic/06/13.md

4 lines
219 B
Markdown

# Kwa hiyo nimekupiga kwa pigo linaloumiza...lakini hutakunywa divai
Yahwe anaelezea adhabu yake ya watu wake kama kumruhusu adui askari kuja na kuchukua kila kitu walichokuza, andaa, na kutunza kwa ajili yao wenyewe.