sw_tn/mic/05/08.md

8 lines
481 B
Markdown

# katikati ya mataifa, katikati ya watu wengi
Hivi virai viwili kimsingi vinamaanisha jambo moja na kusisitiza kwamba "mabaki ya Yakobo" wataishi katika mataifa mengi tofauti tofauti.
# kama simba katikati ya wanyama wa msitu, kama mwana simba katikati ya kundi la kondoo. Wakati akipita katikati yao, atawakanyaga juu yao na kuwararua kuwa vipande vipande
Hii inasisitiza kwamba watu wa Israeli watakuwa na uwezo na ujasiri wakiwa uhamishoni kuhukumu na kuwaharibu maadui zao.