sw_tn/mic/04/13.md

12 lines
408 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaonyesha picha ya kupuria sakafu.
# Inuka na pura, binti Sayuni
Mungu atawatumia watu wa Sayuni kuwaadhibu watu wa mataifa.
# Nitaifanya pembe yako kuwa chuma, na nitazifanya kwato zako kuwa shaba
Yahwe anawalinganisha watu wa Sayuni na ng'ombe shujaa ambaye angepura ngano. Hii inamaanisha Yahwe atawafanya watu wa Israeli hodari tena ili waweze kuwashinda mataifa mengine.