sw_tn/mat/28/08.md

20 lines
334 B
Markdown

# Wale wanawake
"Mariamu Magedalena na Mariamu yule mwingine"
# Tazama
neno "Tazama" linatuandaa kusikiliza taarifa zinazofuata. Lugha yako yaweza kuwa namfumo wa kulisema hili.
# Salamu
Hii ni salamu ya kawaida
# na kushika miguu yake
"walipiga magoti na kugusa miguu yake"
# ndugu zangu
Hii inamaanisha wanafunzi wa Yesu.