sw_tn/mat/27/45.md

20 lines
527 B
Markdown

# Sasa
Neno hili limetumika kuonesha kuanza kwa habari nyingine. Mathayo anaanza kueleza sehemu mpya ya habari
# kutoka saa ya sita ... hadi saa tisa
Kuanzia mnamo adhuhuri ... kwa muda wa saa tatu" au "kuazia mnamo muda wa saa sita mchana ... hadi mnamo muda wa saa tisa mchana"
# kulikuwa na giza katika nchi yote
Neno "giza" ni nomino. "ilikuwa giza nchi yote"
# Yesu akalia
"Yesu akaita" au "Yesu alipiga kelele"
# Eloi. Eloi. lamathabakithani
Haya ndiyo maneno amabyo Yesu aliita kwa sauti kuu katika lugha ya.ke