sw_tn/mat/27/41.md

8 lines
445 B
Markdown

# Aliokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe
Maana yake yaweza kuwa 1) viongozi wa Wayahudi hawakuamini kuwa Yesu aliwaokoa wengine au kwamba anaweza kujiokoa wenyewe au 2) waliamini kuwa Yesu aliwaokoa wengine na sasa wanamcheka kwa sababu sasa hawezi kujiokoa mwenyewe
# yeye ni mfalme
Viongozi wanamkejeli Yesu. Wanamwita "Mfalme wa Israel," Lakini kwa uhalisia hawaamini kuwa yeye ni Mfalme. "Anasema kuwa yeye ni mfalme wa Israel"