sw_tn/mat/27/15.md

20 lines
384 B
Markdown

# Sasa
Hili ni neno linalotumika kuosha mwanzo wa habari kuu ili kwamba mwandishi aweze kutoa taarifa za kumsaidia msomaji kinachotokea kuanzia 27:17
# Sikukuu
Hii ni sikuu ya kusherehekea Pasaka
# mfungw mmoja anayechaguliwa na umati
"mfungwa ambaye umati utamchagua"
# walikuwa na mfungwa sugu
"kulikuwa na funwa sugu"
# sugu
anayejulikan vizuri kwa kutenda makosa makubwa