sw_tn/mat/22/39.md

24 lines
739 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Yesu ananukuu mstari toka Walawi kama amri kuu ya pili
# Na ya pili inafana na hiyo
Yaweza kumaanisha 1) "kuna amri ya pili ambayo inafuatia kwa umuhimu" au 2) "kuna amri ya pili ambayo nayo ni ya muhimu." Kwa namna yeyote ile, Yesu anamaanisha kuwa amri hizi zote ni za muhimu kuliko amri zingine zote.
# Na amri ya pili
Ya pili ni katika kupangilia
# inafanana
Tazama 2:37
# jiraniyako
Neno "jirani" inamaana zaidi ya mtu aliye karibu na wewe. inamaanisha kuwa mtu lazima awapende watu wote
# Sheria zote na Manabii hutegemea hutegemea amri hizi mbili
Neno "sheria zote na manabii" limzznisha maandiko yote. "Kila kitu ambacho Musa na Manabii waliandika katika maandiko zinategemea amri hizi zote mbili"